Phone4Sale Nauza Oppo A15

Phone4Sale Nauza Oppo A15

Majigo

JF-Expert Member
Joined
Feb 23, 2012
Posts
5,519
Reaction score
1,828
OPPO A15.
Storage 2/32GB
Camera 13MP.
Battery 4230
Haina tatizo lolote
Bei 185,000
Maongezi yapo
Location
Dar es salaam Kigamboni, Mjimwema
Call
0718295182
0765505909

View attachment 2782160

View attachment 2782167

IMG_20230924_182631_compress92.jpg

View attachment 2782162
 
Oppo ipo Kabatini inahitaji mtumiaji
 
Kwa nini unauza hii sababu lazima useme kumtoa mtu shaka, kama kipengele kipo unasema.
 
Swali zuri sana hili
Kwanza hii simu alikua anatumia Wife
Mimi nina kawaida ya kuupgrade simu baada ya muda fulani, yaani nabadilisha simu mimi na wife ili kujipongeza na kitu kipya

Kwa sasa hii haitumiki tena hivyo lazima Niuze
 
Sawa mkuu subiri waje.
 
Chombo bado kipo no scratch
 
Kama bado Ujapata simu
Nauza hii OPPO A15
 
ukisikia simu katumia mtoto wa kike jua hiyo imedekezwa sana
 
Oppo A15 bado ipo hiyo Redmi nishaitoa
 
Back
Top Bottom