Habari wakuu,
nauza PAGALE nyumba ambayo haijamaliziwa imeishia kozi tatu baada ya rinta iko tayari kwa ajili ya kuezeka.
Location:bangulo kata ya pugu, kilometa chache kutoka gongo la mboto au kinyerezi mwisho.
- vyumba vitano vya kulala ( viwili master )
-dinning
-jiko
-store
-choo,bafu ndani
-sebule
-veranda mbili
Uwanja square mita 600, shimo la maji taka limeshajengwa, umeme na maji vipo hatua kumi tuu, nyumba ni yangu mwenyewe Mimi sio dalali,
Mawasilino 0713119777
Bei million 27 maongezi yapo
Picha nakutumia nipigie Sasa hatutoshindwana