Computer4Sale Nauza pc yangu nmefulia

Humu ukisema unauza kitu automatically tutahisi umefulia

Hakukua na haja ya kujielezea hivyo

Aya, tuma mapicha tuchukue kitu
 
Mkuu iweke specifications vizuri pia na BEI na picha na pia uko wapi .mir nahitaji PC nipo mkoani
Nikupe hp probook core i3 ina 500gb na ram 3Gb ,webcam ,fingerprint ,wifi ,dvd ,sd card port ,charge 3hrs price 400k

Unatakwimu za wewe kufulia?
Askofu wetu wa Lufungila aliingia matatizoni baada ya kutaka mtukufu wetu [HASHTAG]#atubu[/HASHTAG] bila kuwa na takwimu ya dhambi alizofanya kwa miaka miwili baada ya kuchukua!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…