Thanks, karibuAll the best!!
Sawa kakaKazi nzuri, Jaribu kuielezea walau hata perfume 8 ili kumshawishi mteja aliyepo Saza, Makongorosi, Patamela, Mpimbwe, Kipeta , Mazinji, Mafyeko , Mbawe, Sakukwa, Chalangwa, Sangambi, Shoga , Chokaa, Umalila, Tukuyu, Mji Mdogo Laela, Maji moto, Solola, Igoma mwanza, Nyakato, Mecco, Busisi, Nyashishi, Igombe, Lunguya, Mgusu, Katoro, Itobo, mwendakulima, mbulu, nyihogo ,tinde, ushetu, iborogelo, Misigiri bila kusahau Kagongwa Kahama
Weka bei nduguKarinuni mjipatie perfume kwa bei kuanzia 30000 mpaka 35,000/- pamoja na spray zake
Saa (unisex)
Cheni
Bracelets
Pete za urembo, uchumba na ndoa
Vikuku
Cheni za kiunoni
Vibanio
Vile vile tunafunga zawadi za Valentine, Birthday, anniversary, kwenye gift box nzuri, zawadi hizi zinaweza ambatana na chocolate, pipi, maua, cake etc
Tunauza jumla na rejareja na mikoani tunatuma
Whatsapp/call 0753669856 View attachment 2480681View attachment 2480682View attachment 2480685View attachment 2480683View attachment 2480684View attachment 2480686View attachment 2480687View attachment 2480688View attachment 2480689View attachment 2480691View attachment 2480692View attachment 2480693View attachment 2480694View attachment 2480695View attachment 2480698View attachment 2480696View attachment 2480697View attachment 2480699
Nmeweka no ya simu, na hayo maelezo nimeweka yes mkoani natuma, 0753669856Weka bei ndugu
Je uko wapi ?
Wanakupataje?
Je mikoani unatuma?
Sent from my SM-J410F using JamiiForums mobile app
Mkuu umetaja hadi kijiji chetu, umetisha sanaKazi nzuri, Jaribu kuielezea walau hata perfume 8 ili kumshawishi mteja aliyepo Saza, Makongorosi, Patamela, Mpimbwe, Kipeta , Mazinji, Mafyeko , Mbawe, Sakukwa, Chalangwa, Sangambi, Shoga , Chokaa, Umalila, Tukuyu, Mji Mdogo Laela, Maji moto, Solola, Igoma mwanza, Nyakato, Mecco, Busisi, Nyashishi, Igombe, Lunguya, Mgusu, Katoro, Itobo, mwendakulima, mbulu, nyihogo ,tinde, ushetu, iborogelo, Misigiri bila kusahau Kagongwa Kahama
Saa rolex 30,000, ukitaka na bracelet yake 50,000Weka bei za saa mkuu
Ndio natuma, karibu sana, 0753669856Mkoani unatuma?
Kijijini kwenu ni wapi hapo. Maana huko pote kwa sasa sio vijiji tena, watu wameamkaMkuu umetaja hadi kijiji chetu, umetisha sana
Itakuwa itoboKijijini kwenu ni wapi hapo. Maana huko pote kwa sasa sio vijiji tena, watu wameamka
Njoo WhatsApp kaka, no 0753669856Mkuu naomba unioneshe set yenye saa, mkufu na hereni, ya 35000 na ya 50000 nijipime
Mje mnunue perfume sas[emoji1][emoji1]Itakuwa itobo