Chizi Maarifa
JF-Expert Member
- Jul 29, 2013
- 10,931
- 24,816
Sikuharibii hata kidogo. Kama unasaa nitakuja nunua ila kwangu usiweke neno Valentine. Hizo ni sherehe za KikafirSamahani kaka, hii biashara angu tangu 2017, nmeianza kwa shida na siuzi hivi tu, every accessory u want nione, sio hizi gift packages tu, huu ni msimu wa Valentine lazima twende na upepo. Nakuomba sana kwa jina la Mwenyezi Mungu usiniharibie biashara, kama wewe sio mpenzi wa Valentine unaweza kuja kununua ata saa brand kama zote zipo[emoji4][emoji4][emoji4]