mbarika
JF-Expert Member
- Apr 1, 2015
- 6,290
- 8,600
We hutaki kumnunulia??Carrasco putin zawadi hizo baby njoo ninunulie
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
We hutaki kumnunulia??Carrasco putin zawadi hizo baby njoo ninunulie
Ashachagua, rolex ya 30,000/- [emoji4]
Nilisema mimi🤣🤣🤣🤣uki noob, unachubua
ukiwa mzoefu, huchubui,
Hapa hapa🤣🤣🤣🤣ngojea mtoto wa mtu ajichanganyeTusio na valentiners tuna comment vipi??
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Na tunapiga hela ya kutosha kwa ajili ya zawadiWATU WANATUMIA FURSA SABABU YA UJINGA WA WATU KUWA MKUBWA SANA. KABISA MTU ANAENDA NUNUA ZAWADI SABABU YA STUPID THING LIKE VALENTINE?WAJINGA NDIO WALIWAO.
Shemeji usisikilize maneno ya watu, wasije gombanisha ushemeji wetu.Shemeji nishajua upande wako.
Shemeji nishakujua wewe. Unang'ata na kupuliza.Shemeji usisikilize maneno ya watu, wasije gombanisha ushemeji wetu.
Tumetoka mbali eti
Shemeji ukisema hivyo unakosea sana.Shemeji nishakujua wewe. Unang'ata na kupuliza.
Sasa ushaning'ata mimi, acha nijipulizie mwenyewe..
Mtu anajiita chizi maarifa halafu wewe unahangaika nae, ungemuacha tu.Samahani kaka, hii biashara angu tangu 2017, nmeianza kwa shida na siuzi hivi tu, every accessory u want nione, sio hizi gift packages tu, huu ni msimu wa Valentine lazima twende na upepo. Nakuomba sana kwa jina la Mwenyezi Mungu usiniharibie biashara, kama wewe sio mpenzi wa Valentine unaweza kuja kununua ata saa brand kama zote zipo[emoji4][emoji4][emoji4]
Ona sasa Shemeji.Shemeji ukisema hivyo unakosea sana.
Hata ukichungulia ndani ya moyo wangu utaona venye niko loyal to you shemeji yangu.
Tunasubiri IST niwe napewa lift na shost angu , full kuzurura
Hizo, kachagua ndogo, ni 30,000/-View attachment 2503691View attachment 2503692View attachment 2503695View attachment 2503694View attachment 2503693View attachment 2503696[emoji3526]
Weka picha mbili tatu basi alizopick tukamilishe muamala
Yaaani[emoji3]Mtu anajiita chizi maarifa halafu wewe unahangaika nae, ungemuacha tu.