Nauza pikipiki sawa na bure

Nauza pikipiki sawa na bure

Aventus

JF-Expert Member
Joined
Mar 8, 2013
Posts
2,011
Reaction score
2,168
Wakuu kwema?

Chukua pikipiki kwa bei ya kutupa ukatumie ama biashara, yote juu yako.

Chombo iko sawa,
Changamoto ni kuweka break mpya ya mbele pamoja na tairi la mbele.

Chombo inatoka kwa M1.2(million 1 na laki 2)
Location: Morogoro mjini
Imekwisha uzika,
Asante

20240722_182104.jpg
20240722_182119.jpg
 
Kwenye mauziano unapewa nin na nn? Maana kuna mtu ilimtokew puani hizi kanunua moro kakamatwa nayo dar kesi kubwa muuzaji kamkataa mazima
Kadi original ya pikipiki na element..
Tukalipane kwa mwenyekiti ama hata polisi ni sawa
 
Back
Top Bottom