Plot4Sale Nauza plot safari City Arusha

Plot4Sale Nauza plot safari City Arusha

Alvin Slain

JF-Expert Member
Joined
Aug 30, 2011
Posts
6,375
Reaction score
3,663
Habari za leo wanajamiiforums?
Nauza kiwanja Safari City Arusha, Kiwanja kina square meters 396 kila square meters moja ni =35,000

35,000×396=13,860,000
Kiwanja kimepimwa kulingana na mipango miji pia maongezi yapo karibuni
mawasiliano 0747 68 78 76
20200506_074648.jpg


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kiwanja kiko mfano wa box, Square meters 396 ni jumla ya eneo lote ya hicho kiwanja mkuu, Urefu na upana upo huko huko ndani yake!

Sent using Jamii Forums mobile app

Tatizo la viwanja vya pale huwezi jenga kilalahoi, lazima ufuate plan ya huo mji kama ulivyopangwa, kwa pesa zetu hizi lazima tu uflash kiwanja kuwaachia wenye nazo
 
Back
Top Bottom