INAUZWA Nauza pressure washer karcher k2 compact

Mkuu,inaweza kuhimili kazi kubwa (heavy duty) mfano kwenye car wash,isiwe back up bali itumike yenyewe?
 
Mkuu,inaweza kuhimili kazi kubwa (heavy duty) mfano kwenye car wash,isiwe back up bali itumike yenyewe?
kama heavy duty ikiwa na maana ya kufanya kazi continuous 24/7 ...hapana hii sio aina ya Jet washer unayoweza kuitegemea...ila kama ni home car wash au kama ni kwa kuanzia ofsi ili ujipange utafute machine kubwa unaweza kabsa kuitumia.
Kama utahitaji kubwa zaidi kwa ajiri ya full car wash office ipo mkuu nitafute
 
inawaka masaa mangapi?
Daah! swali gumu kiasi mkuu maana kwenye manual yake hawajaweka ukomo wa muda wa kutumia.Ila niko tayari kutake risk njoo kama una muda wa kutosha naweza kukuachia ukaliwasha ukae nalo hadi utapojiridhisha kwamba masaa lililowaka yanakutosha ili tupate kujifunza Karcher 2 compact pressure washer running hours ni masaa mangapi.
 
poa boss ngoja tucheki mfuko, nataka nitumie kwa kuoshea bodaboda
 
Naona umechangamkia Fursa ya Chris Lukosi,
 

Wakuu asanteni,hii KARCHER COMPACT JET WASHER imeshauzwa.
Kuna Jet washer kubwa nitazipost pia ziko sokoni kwa haraka mwenye uhitaji na kuja kuziona anaweza nicheki kwa namba hii 0621973591
 
sold
 

Attachments

  • 20210313_120340.jpg
    58 KB · Views: 18
  • JPEG_20210313_121345_2247121017146006850.jpg
    60.3 KB · Views: 16
Bado ipo?
 
Pia Wakuu Low Power Microwave Oven zinapatikana kwa very resonable price
nicheki kwa namba hii 0621973591.
kumbuka hizi ni Microwave + Oven
so unaweza fanyia baking pia.
Iwapo utahitaji Microwave peke ake pia zipo
 
Sample za Microwave and Oven
ziko nyingi mno kila mtu anapata
Unaweza chemshia viazi,kupika pizza,mikate,kuokea kuku,samaki etc kwa umeme mdogo kabisa...
kwa mwenye hofu na matumizi ya umeme ya hivi vifaa atafanyiwa demostration.
bei inaanzia elfu tisini 90,000 na kuendelea.
Piga simu namba 0621973591
Unaweza fanyiwa delivery pia.
 
Kwa Wajasiamali watengenezaji wa keki kuna Bosch Oven yenye Ujazo wa lita 30...unaweza ingiza mbuzi mzima humo akaiva...Tengenezea Keki,au Mikate ...ipo inapatikana kwa bei ya 270K with free delivery popote ndani ya Mkoa wa Dar Es Salaam.
 

Attachments

  • 20210313_201648.jpg
    28.1 KB · Views: 14
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…