The last don
JF-Expert Member
- Aug 3, 2011
- 1,053
- 1,232
- Thread starter
-
- #21
Najua watu wengi tunaogopa sana vifaa vya umeme kwa kudhani vinatuongezea gharama za matumizi ya Nishati ya umeme hasa tukiwa kwenye nyumba za kupanga kitu ambacho sio sahii kwa kesi ya vifaa kama Oven and Microwave or Toaster or Coffer maker iwapo tu utatumia vile vyenye low power.
Kwa mfano tu Napozungumzia lower power Microwave elewa kwamba umeme wa elfu moja unaweza tumia kuandaa breakfast mfano
(Chemshia Viazi,Karanga na Chai asubuhi)
kwa muda wa week nzima...Jst imagine ni kiasi gani cha gesi utakuwa umesave.
hapo nimezungumzia viazi 500g,karanga 200g na chai 400ml.
karibuni hivi ni vifaa ambavyo kwa kijana wa kisasa au kwa maisha ya kisasa sio vya kukosa kuwepo kwako.
Watoto wa shule,wanaweza kuamka na kujiandalia breakfast within ten minutes kwa gharama nafuu kabisa na kwa usalama.