INAUZWA Nauza pressure washer karcher k2 compact

INAUZWA Nauza pressure washer karcher k2 compact

Najua watu wengi tunaogopa sana vifaa vya umeme kwa kudhani vinatuongezea gharama za matumizi ya Nishati ya umeme hasa tukiwa kwenye nyumba za kupanga kitu ambacho sio sahii kwa kesi ya vifaa kama Oven and Microwave or Toaster or Coffer maker iwapo tu utatumia vile vyenye low power.

Kwa mfano tu Napozungumzia lower power Microwave elewa kwamba umeme wa elfu moja unaweza tumia kuandaa breakfast mfano
(Chemshia Viazi,Karanga na Chai asubuhi)
kwa muda wa week nzima...Jst imagine ni kiasi gani cha gesi utakuwa umesave.
hapo nimezungumzia viazi 500g,karanga 200g na chai 400ml.
karibuni hivi ni vifaa ambavyo kwa kijana wa kisasa au kwa maisha ya kisasa sio vya kukosa kuwepo kwako.
Watoto wa shule,wanaweza kuamka na kujiandalia breakfast within ten minutes kwa gharama nafuu kabisa na kwa usalama.
 
Kipiiindi cha Joto hiki Wakuu tunauuza Air cooler kwa bei nafuu kabisa,Achana na Fan za kawaida ambazo zinakufanya uamke na uchovu jikamatie Air cooler yako kwa bei ya shilingi laki moja na elfu hamsini tu.
Piga Simu 0621973591
tupo mabibo Extenal.
20210316_092813.jpg
20210316_094030.jpg
20210316_093922.jpg
 
Daah! swali gumu kiasi mkuu maana kwenye manual yake hawajaweka ukomo wa muda wa kutumia.Ila niko tayari kutake risk njoo kama una muda wa kutosha naweza kukuachia ukaliwasha ukae nalo hadi utapojiridhisha kwamba masaa lililowaka yanakutosha ili tupate kujifunza Karcher 2 compact pressure washer running hours ni masaa mangapi.
Akija mnitag🚶🚶
 
Nauza used Electric Jet Washer Karcher K2 compact
Specification:
Brand: Karcher
Power Supply: V/hz 240/50
Connected Load: 13A
Pressure: Max 1900KPA~~~110bar
With suction pump for detergent
Condition🙁 Used) In good working condition

Hii ni very portable but powerful car washer unaweza itumia nyumbani na kuepuka kupeleka gari Car wash,unaweza waachia watoto wakakuoshea gari,pikipiki,kusafishia madirisha ya vioo,kusafishiaa mazuliaa..kwa ujumla usafi wote wa nyumbani kwa usalama.

Au inaweza kuwa kama backup Pressure washer kwa wale wenye sehemu za kuoshea magari.
Nauza kwa bei ya shilingi laki moja tu
100,000/=.

Inapatikana Mabibo Exteno
Dar Es Salaam
0621973591

View attachment 1712155View attachment 1712156
Huu mzigo bado upo?
 
Sold
 

Attachments

  • IMG-20210316-WA0016.jpg
    IMG-20210316-WA0016.jpg
    48.2 KB · Views: 4
Back
Top Bottom