zeromagic Senior Member Joined Sep 14, 2016 Posts 186 Reaction score 67 Sep 14, 2021 #1 [IMEUZWA] IMEUZWA [IMEUZWA] habari jamii forum nauza printer aina ya epson L805 used inaprint picha za rangi na karatasi za kawaida inaprint cd na pvc cards pia imetumika mwaka mmoja ninapatikana mwanza unaweza kunicheki kwa namba ya simu 0686194335 inapatikana whatsapp pia bei ni 450,000/= bargaining inaruhusiwa kabisa.
[IMEUZWA] IMEUZWA [IMEUZWA] habari jamii forum nauza printer aina ya epson L805 used inaprint picha za rangi na karatasi za kawaida inaprint cd na pvc cards pia imetumika mwaka mmoja ninapatikana mwanza unaweza kunicheki kwa namba ya simu 0686194335 inapatikana whatsapp pia bei ni 450,000/= bargaining inaruhusiwa kabisa.
kimpe JF-Expert Member Joined Jan 26, 2012 Posts 911 Reaction score 862 Sep 15, 2021 #2 Ina shida yoyote hio printer??
zeromagic Senior Member Joined Sep 14, 2016 Posts 186 Reaction score 67 Sep 16, 2021 Thread starter #3 kimpe said: Ina shida yoyote hio printer?? Click to expand... haina shida yoyote
kidunula1 JF-Expert Member Joined Apr 2, 2016 Posts 6,305 Reaction score 6,341 Sep 16, 2021 #4 Kasi yake kwenye kuprint ikoje mana kuna vile kutoa karatasi moja tu hadi dakika moja ipite. Na hizi si huwezi kugeuzia automatic? Sent using Jamii Forums mobile app
Kasi yake kwenye kuprint ikoje mana kuna vile kutoa karatasi moja tu hadi dakika moja ipite. Na hizi si huwezi kugeuzia automatic? Sent using Jamii Forums mobile app
zeromagic Senior Member Joined Sep 14, 2016 Posts 186 Reaction score 67 Sep 16, 2021 Thread starter #5 kidunula1 said: Kasi yake kwenye kuprint ikoje mana kuna vile kutoa karatasi moja tu hadi dakika moja ipite. Na hizi si huwezi kugeuzia automatic? Sent using Jamii Forums mobile app Click to expand... kasi ya kawaida siwezi sema sekunde ngapi kwasababu kasi inategemea unaprint nini? maneno au picha
kidunula1 said: Kasi yake kwenye kuprint ikoje mana kuna vile kutoa karatasi moja tu hadi dakika moja ipite. Na hizi si huwezi kugeuzia automatic? Sent using Jamii Forums mobile app Click to expand... kasi ya kawaida siwezi sema sekunde ngapi kwasababu kasi inategemea unaprint nini? maneno au picha
T tutunfyekyela JF-Expert Member Joined Aug 31, 2021 Posts 473 Reaction score 781 Sep 16, 2021 #6 Nikupe 30 sasa niagize mtu aje aicheki
chichiboy1 JF-Expert Member Joined Aug 22, 2015 Posts 1,371 Reaction score 1,856 Sep 19, 2021 #7 Ninayo L810 bei laki 8 imeprint pages 5 tu, ni sawa na mpya!