INAUZWA Nauza Printer Epson L805 used

INAUZWA Nauza Printer Epson L805 used

zeromagic

Senior Member
Joined
Sep 14, 2016
Posts
186
Reaction score
67
[IMEUZWA] IMEUZWA [IMEUZWA]

habari jamii forum
nauza printer aina ya epson L805 used

inaprint picha za rangi na karatasi za kawaida
inaprint cd na pvc cards pia

imetumika mwaka mmoja

ninapatikana mwanza
unaweza kunicheki kwa namba ya simu 0686194335 inapatikana whatsapp pia

bei ni 450,000/=
bargaining inaruhusiwa kabisa.

IMG_8386.jpg
 
Kasi yake kwenye kuprint ikoje mana kuna vile kutoa karatasi moja tu hadi dakika moja ipite. Na hizi si huwezi kugeuzia automatic?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ninayo L810 bei laki 8 imeprint pages 5 tu, ni sawa na mpya!
 
Back
Top Bottom