Kiti Chema
JF-Expert Member
- Oct 18, 2017
- 1,793
- 1,961
Mkuu sorry nje ya maada, naamini utakuwa unafahamu matumizi ya simu ya samsung vizuri,mkuu hizi simu zetu za waenda kwa miguu?
tecno
oppo
huawei
samsung
nokia
lg
infi...
motolora
sony
nk....
mimi nina Simu ya samsung S9+, nimeshindwa kusett mwanga kwenye camera, yaani ninachohitaji mimiile taa ya camera iwake kwanza imulike kitu harafu ndipo nijue kupiga picha,
so kama inawezekana basi naomba unielekeze jinsi ya kusette