Kiti Chema
JF-Expert Member
- Oct 18, 2017
- 1,793
- 1,961
Mkuu sorry nje ya maada, naamini utakuwa unafahamu matumizi ya simu ya samsung vizuri,mkuu hizi simu zetu za waenda kwa miguu?
tecno
oppo
huawei
samsung
nokia
lg
infi...
motolora
sony
nk....
Ok nahisi hii video hapa itakuonyesha ni jinsi gani unavyoset FLASH.. hapo katika simu kuna ki alama hichiMkuu sorry nje ya maada, naamini utakuwa unafahamu matumizi ya simu ya samsung vizuri,
mimi nina Simu ya samsung S9+, nimeshindwa kusett mwanga kwenye camera, yaani ninachohitaji mimiile taa ya camera iwake kwanza imulike kitu harafu ndipo nijue kupiga picha,
so kama inawezekana basi naomba unielekeze jinsi ya kusette
Yote hayo nishafanya mkuu but nothing, ila jambo la kushangaza kama unarecod video, flash inawaka vizuri ila kwenye upigaji wa picha flashi inawaka kama vile camera za zamani za betri za kawaida, yaani mwanga wa kupiga na kuondoka,Ok nahisi hii video hapa itakuonyesha ni jinsi gani unavyoset FLASH.. hapo katika simu kuna ki alama hichi
⚡ - Hii ndo alama ya FLASH ON
Ikiwa hivyo inamaana flash ipo on muda wote ikiwa hivi
⚡A - Hii alama ya FLASH Automatic
Inamaanisha kuwa simu ikiona mazingira ni ya giza ndo itatoa flash
Ikiwa hio alama imekatwa inamaanisha hapo FLASH ipo OFF
Ikiwa umeshafanya yote haya na FLASH haitokei.. basi kuna shida kwenye upande wa simu yako either ni hadware au software.

Itakuwa kuna shida, unatumia app ya camera tofauti na ya samsungYote hayo nishafanya mkuu but nothing, ila jambo la kushangaza kama unarecod video, flash inawaka vizuri ila kwenye upigaji wa picha flashi inawaka kama vile camera za zamani za betri za kawaida, yaani mwanga wa kupiga na kuondoka,