Ramani ya vyumba viwili, chumba kimoja masta, kingine cha kawaida, pia ina;
~sebule
~dining{chumba cha kulia chakula}
~jiko
~stoo
~choo cha kushea
~baraza ya mbele na ya jiko
~Ukubwa wa Ramani ni mita 11.6 kwa mita 8.6
~Mahitaji: Tofali 2650,Bati pisi 34 { futi 10 urefu na upana futi 3}
~kupata ramani yake tuwasiliane 0742295125 Call/WhatsApp
Ramani ya nyumba ndogo yenye mahitaji muhimu, ina..
Sebule
dining
vyumba viwili kimoja master
jiko
stoo
public toilet
entrance veranda
kitchen veranda
INATOSHEA KWENYE KIWANJA CHA MITA 11.7 KWA MITA 10
MAHITAJI
TOFALI 2678 (za msingi 675, nyumba 2003)
BATI PISI 55 (za futi 10 urefu na upana futi 3)
Ili kupata Ramani yake Tuwasiliane 0742295125 Call/WhatsApp
Jaribuni kuchora ramani zinazoendana na uhalisia na life style ya mtu.
Why Nyumba lazima iwe na vyumba vitatu? Kuna vitu mnaweka kimsingi havina maana kabisa.
Kuwa wa kisasa kwa kujenga Nyumba yako na Ramani hii ya kisasa yenye mahitaji muhimu, ina..
~ Sebule
~ dining
~ vyumba vinne kimoja master
~ jiko
~ stoo
~ public toilet na Bafu la kushea
~ entrance veranda { Baraza ya mbele}
~ kitchen veranda { Baraza ya nyuma}
RAMANI INA UKUBWA WA MITA 14 KWA MITA 14
Kuwa wa kisasa kwa kujenga Nyumba yako na Ramani hii ya kisasa ya muundo wa Contemporary (Hidden Roof) yenye mahitaji muhimu, ina..
~Sebule
~dining
~vyumba vinne kimoja master
~jiko
~stoo
~public toilet
~entrance veranda { Baraza ya mbele}
~kitchen veranda { Baraza ya nyuma}
RAMANI INA UKUBWA WA MITA 14.6 KWA MITA 14.9
MAHITAJI:
TOFALI 3000(za msingi 1000, nyumba 2000)
BATI PISI 50(za futi 10 urefu na upana futi 3 ).
Kupata Ramani hii nanyingine kulingana na mahitaji yako Tuwasiliane 0742295125 Call/WhatsApp na 0676056663 Call/SMS