INAUZWA Nauza ramani za nyumba za aina mbalimbali

INAUZWA Nauza ramani za nyumba za aina mbalimbali

Kuwite94

Member
Joined
Oct 10, 2016
Posts
18
Reaction score
117
Ramani ya vyumba viwili, chumba kimoja masta, kingine cha kawaida, pia ina;
~sebule
~dining{chumba cha kulia chakula}
~jiko
~stoo
~choo cha kushea
~baraza ya mbele na ya jiko

~Ukubwa wa Ramani ni mita 11.6 kwa mita 8.6
~Mahitaji: Tofali 2650,Bati pisi 34 { futi 10 urefu na upana futi 3}
~kupata ramani yake tuwasiliane 0742295125 Call/WhatsApp

IMG-20220202-WA0001.jpg
 
Ramani ya vyumba vitatu, chumba kimoja masta,vyumba viwili vya kawaida, pia ina
¶sebule
¶dining
¶jiko
¶stoo
¶public toilet
¶veranda mbili

~Ukubwa wa Ramani ni mita 16.2 kwa mita 12.8
~Mahitaji: Tofali 3500,Bati pisi 85 Kupata Ramani na plan yake tuwasiliane 0742295125 Call/WhatsApp

IMG-20220226-WA0006.jpg
 
Ramani ya nyumba ndogo yenye mahitaji muhimu, ina..
Sebule
dining
vyumba viwili kimoja master
jiko
stoo
public toilet
entrance veranda
kitchen veranda
INATOSHEA KWENYE KIWANJA CHA MITA 11.7 KWA MITA 10

MAHITAJI
TOFALI 2678 (za msingi 675, nyumba 2003)
BATI PISI 55 (za futi 10 urefu na upana futi 3)
Ili kupata Ramani yake Tuwasiliane 0742295125 Call/WhatsApp

IMG-20220216-WA0018.jpg
 
Kariakoo zimejaa nyingi zimewekwa chini Buku Tano Tano tu pungufu unaongea,huyu kakawii kutaka Laki Moja au zaidi
 
Hivi amazoni angekuwa anafanya biashara kwa style hii au kikuu kwamba piga namba au njoo inbox nikuambie bei sijui kama wangekuwa wanauza
 
Ramani ya vyumba vinne, chumba kimoja masta,vyumba vitatu vya kawaida, pia ina
~sebule
~dining
~jiko
~stoo
~public toilet
~veranda mbili

~Ukubwa wa Ramani ni mita 13.8 kwa mita 13.8
~Mahitaji: Tofali 3500,Bati 50 Kupata Ramani na plan yake tuwasiliane 0742295125 Call/WhatsApp

FB_IMG_1644493914913.jpg
 
Jaribuni kuchora ramani zinazoendana na uhalisia na life style ya mtu.
Why Nyumba lazima iwe na vyumba vitatu? Kuna vitu mnaweka kimsingi havina maana kabisa.
 
Kuwa wa kisasa kwa kujenga Nyumba yako na Ramani hii ya kisasa yenye mahitaji muhimu, ina..
~ Sebule
~ dining
~ vyumba vinne kimoja master
~ jiko
~ stoo
~ public toilet na Bafu la kushea
~ entrance veranda { Baraza ya mbele}
~ kitchen veranda { Baraza ya nyuma}
RAMANI INA UKUBWA WA MITA 14 KWA MITA 14

MAHITAJI:
TOFALI 3400(za msingi 1200, nyumba 2200)
BATI PISI 80(za futi 10 urefu na upana futi 3 ).
Kupata Ramani hii nanyingine kulingana na mahitaji yako Tuwasiliane 0742295125 Call/WhatsApp na 0676056663 Call/SMS View attachment 3001158View attachment 3001159View attachment 3001157View attachment 3001160View attachment 3001161

IMG-20240329-WA0004.jpg
 
Kuwa wa kisasa kwa kujenga Nyumba yako na Ramani hii ya kisasa ya muundo wa Contemporary (Hidden Roof) yenye mahitaji muhimu, ina..
~Sebule
~dining
~vyumba vinne kimoja master
~jiko
~stoo
~public toilet
~entrance veranda { Baraza ya mbele}
~kitchen veranda { Baraza ya nyuma}
RAMANI INA UKUBWA WA MITA 14.6 KWA MITA 14.9

MAHITAJI:
TOFALI 3000(za msingi 1000, nyumba 2000)
BATI PISI 50(za futi 10 urefu na upana futi 3 ).
Kupata Ramani hii nanyingine kulingana na mahitaji yako Tuwasiliane 0742295125 Call/WhatsApp na 0676056663 Call/SMS
IMG-20231102-WA0017.jpg
 
Back
Top Bottom