Nauza saa yangu ya Tommy Hilfiger Aiden Multifunction Watch

Inawezekana jamaa n mfanyabiashara hvy anafanya design ya Matangazo yake mwnyw
Labda,maana ukisoma heading ni kama anauza saa yake aliyokuwa anaitumia so mnunuzi angetegemea kuona picha ameivaa au mazingira ya pic yawe ya kikawaida siyo kama hivi picha za Google.
 
Labda,maana ukisoma heading ni kama anauza saa yake aliyokuwa anaitumia so mnunuzi angetegemea kuona picha ameivaa au mazingira ya pic yawe ya kikawaida siyo kama hivi picha za Google.
Kwamba una mashaka na bidhaa utakutana na mzigo mikanda imechakaa 😂
 
Bado haujaweka saa yako hiyo uliyoweka umeitoa gugo,pandisha hapa saa unayoiuza wewe achana na hizo za ku-download.
Nikweli ya ku-download ila saa ni hiyo hiyo inakila kitu mpaka batch number zake mpaka warranty card ipo boss
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…