Nauza saloon ya kiume (Barber shop)

Nauza saloon ya kiume (Barber shop)

Habari zenu wakuu! Kama kichwa cha mada kinavyojieleza, nauza saloon yangu ya kiume(barbershop) iliyopo makongo stend (mageuzio).

Nimepata uhamisho wa kikazi hivyo haina budi kuiuza kwani sitoweza kusimamia nikiwa nje ya dares Salam ( mkoani). Saloon iko full ina viti vya kunyolea (barbershop chair), chumba cha scrub na vifaa vyake vyote, mashine, na Kila kitu muhimu, wewe ni kuchukua na kuingiza pesa tu, saloon ina muda mrefu hivyo tayari Ina jina na mzunguko wa wateja ni wakutosha(kuhusu wateja hutojuta labda uzingue mwenyewe)

Nahitaji million 8 tu naiachia. Kuna mkataba wa mpaka January, kwa maarifa zaidi kama mawasiliano, picha za barbershop yenyewe, location we ni-PM tu Kila details utapewa.

Mwisho: njoo pm ukiwa serious, siitaji watu wa joking mwenye Mali ni Mimi mwenyewe!
Kila rahel kinyozi mwenzangu boss mla vyuma 🤣🤣
 
Back
Top Bottom