nauza samsung galaxy s4 I9500 clone shs laki moja cash.

emkey

JF-Expert Member
Joined
Mar 15, 2011
Posts
728
Reaction score
137
Simu tajwa hapo juu in nyeusi, nauza kwa being hiyo ili nilipe ada ya dogo. Tatizo lake no power on/off switch imelegea. Nimeweka nyaya 2 ili kuwasha na Kuzima, ukimpelekea fundi inawekewa turn switch kama elfu tano tu. Nicheki 0714-408238.
 
Unapatikana wapi
 
Kwa spare itakua poaa hiyo manake no mbovu hiyo plus kuwa kitu cha hu jin tao
 
Nipo DSM, haina scratch, ndo hii naitumia.
 
Watu wanatangaza bihashara halafu wanakua wakari ata mnunuzi siatagopa, tia mzigo sokoni kua mpole
 
Back
Top Bottom