Nauza samsung s3 mini.

Nauza samsung s3 mini.

Wakuu habar zenu.
Samsung s3 mini inauzwa
Price:330k
Condition: mint condition
Contacts: 0767879784,[email protected]
Thnx.
 

Attachments

  • 1404337220397.jpg
    1404337220397.jpg
    71.7 KB · Views: 156
Weka bei na useme unapatikana wapi, pia tupe sababu za kuiuza icjekuwa kimeo!
 
Weka bei na useme unapatikana wapi, pia tupe sababu za kuiuza icjekuwa kimeo!

bei si hyo apo mkuu..330,000Tsh.
sababu nataka kuchukua s3 ile kubwa.
simu bado mpya tu mkuu na haina tatizo lolote.
napatkana ubungo mkuu.
 
Back
Top Bottom