Mchimba Chumvi
JF-Expert Member
- May 19, 2016
- 2,244
- 5,500
felPicha zinagoma sijui kwanini?
Nimeweka hapo mkuu.ume
fel
Mkuu naitamani but haitasaidia.
Sijaweka hapo lakini hakina shida wala mkwaruzo.
sawa ila kesho tufanye biashara chukua 300kSijaweka hapo lakini hakina shida wala mkwaruzo.
Hii simu ni mpya boss
Ungekuwa dar ningeichukua..Nauza Samsung s8 kwa bei ya kutupwa.
Wakuu habari
Kutokana na janga hili la COVID-19 ambalo limeniathiri kwa 100%.
Naiweka sokoni simu hii ambayo nimeinunua mwezi December mwaka jana mpya m/city.
Bei 450000/=
Ram 4
Storage 64.
Nipo iringa kwa sasa.
Nicheki WhatsApp +255745588735.
Nitakutumia popote ulipo
Pictures [emoji116][emoji116]View attachment 1434759View attachment 1434772
Jipange mkuu upate sim kali.200,000 mkuu nipo mbeya
Sawa sawa.Mkuu siku nyingne ukiwa unapost simu usiweke imei number uwe unaficha
Sent using Jamii Forums mobile app
Sawa.Ungekuwa dar ningeichukua..
Ongeza mkuu nimenunua dukani dec 810ksawa ila kesho tufanye biashara chukua 300k
Nauza Samsung s8 kwa bei ya kutupwa.
Wakuu habari
Kutokana na janga hili la COVID-19 ambalo limeniathiri kwa 100%.
Naiweka sokoni simu hii ambayo nimeinunua mwezi December mwaka jana mpya m/city.
Bei 450000/=
Ram 4
Storage 64.
Nipo iringa kwa sasa.
Nicheki WhatsApp +255745588735.
Nitakutumia popote ulipo
Pictures ππView attachment 1434759View attachment 1434772
Mkuu; Ungetumia hiyo simu kutatua changamoto yako kwa njia nyingine. Kwa level zetu za maisha simu ni mojawapo ya asset zetu. Hatushauriwi sana kuuza asset zetu..
Ameshindwa kufikiri nje ya box kwa hiyo mpe ABC nini cha kufanya walau apate japo mwangaza aone mbele mkuu...!