Ulinunua bei gani ?Nimetaja pale juu mkuu.
Ni laki Tatu haishuki, Kimara mwisho
fursa? haya bhanaBei nimweka kaka,laki Tatu kamili,nipo Kimara mwisho...changamkia fursa
Kaka huwa naamini Katika changu....Nimejifunza kutoweka matarajio kutoka kwa watu kwasababu waeza jikuta unaumia nafsi mambo yatavyouwa ndivyo sivyo.Pole sana kiongozi. Omba watu wakusaidie waweza saidiwa humu..