Nauza samsung yangu J5 prime mpyaaaa kwa shida za kifedha jamani

Nauza samsung yangu J5 prime mpyaaaa kwa shida za kifedha jamani

nakupa elfu 80 na simu ya kutumia aina ya tecno w5 lite nicheck thru my namba pm
 
Husika na kichwa hapo juu,ninauza samsung yangu J5 prime mpyaaaa kwa shida za kifedha jaman.
Pesa ya filed ishakata na nipo ugenini gem wadau nisaideni kwa hili.
Hii simu haina tatizo lolote na imetumika mitatu ukinunua nakupa na warrant yako. Zingatia na uza kwa financial crisis bei ndogo sana siwezi Sema sawa na bure maana bure hailinganishiki.
Nakaribisha wateja serious ila bro Cc:GuDume acha nikutag as I'm your big fan put there,come and help your young brother.View attachment 858637bei ni laki Tatu.
Napatikana Dar,Kimara mwisho
Umeshaiuza
 
Back
Top Bottom