Experience now
Member
- Dec 12, 2023
- 56
- 14
Material ni ngozi, Ni imara na vinadumu
Bei 15,000
Bei 15,000
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Tanzania boss, Karibu napatikana Mombasa gongolambotomnapatikana wapi? ni ngozi ya Tanzania au nje?
Pamoja sana mkuu.Wahitaji wa Sendo wanakuja Mkuu, WASUBIRI.
KaziKweliKweli/JobTrueTrue
Unapatikana wapi?Ni imara na vinadumu
Bei 15,000
0624151738
Miguu lainilainiHizi huwa nazipenda sana, sema zinanikata miguu sana!
Hizi ni nzuri sana,Hizi huwa nazipenda sana, sema zinanikata miguu sana!
Ni sendo za ngozi,Unapatikana wapi?
Je ni sandle za ngozi au plastic (nimekuta sandle zinauzawa 110K)
Je unazo hizo tu au nyingine zipo?
Kama zipi display tuzione preferably zenya kamba nyuma
Kuna miguu ya kike na kiume hapo, Umeipenda ipii hapo nkuleteehuwo mguu ni wa kike au wakiume
Dar es salaam mkuu,Upo mkoa gani mkuu?
Mzigo upo wa kutosha mkuu, Nmepost baadhi tu, Ntaendelea kupostTusubiri mpaka lini maana ulitakiwa na mzigo kamili ndipo utangaze biashara