INAUZWA Nauza Sendo za kiume na kike

INAUZWA Nauza Sendo za kiume na kike

M
Img_2023_12_14_15_46_45.jpg
 
Material ni ngozi, Ni imara na vinadumu
Bei 15,000

0624151738View attachment 2842344
Ni ngozi? Nataka ngozi siyo synthetics za kichina.
sandals za mitumba za ulaya /usa ziliisha nowadays, zikabaki za kichina ambazo ni synthetics/blended to look like ngozi na huwezi kuzitofautisha kwa macho kama huna utaalamu!
 
Hizi ni ngozi original,
 
Napataje size 45 n malipo yanafanyikaje, both of us to be on the safe side....... kwanza uko wapi? Naweza kumuma kijana wangu ulipo
Size 45 unapata boss

Nipo Mombasa gongolamboto, Malipo ni utakapouona mzigo wako

Nipigie 0624151738
 
Back
Top Bottom