Andre02150
JF-Expert Member
- Feb 2, 2010
- 332
- 129
Habari za leo wadau. Nauza shamba langu Fukayosi. Lina hati na liko umbali wa takribani 2km kutoka barabara ya Lami. Bei maelewano
Weka wazi bei mkuu
Vipi boss unaweza ukala 250,000 kwa heka?
niongeze ngapi?Hapana ndugu; uko mbali sana
Akijibu nitagniongeze ngapi?
Habari za leo wadau. Nauza shamba langu Fukayosi. Lina hati na liko umbali wa takribani 2km kutoka barabara ya Lami. Bei maelewano