kijana mgumu Member Joined Jan 26, 2013 Posts 48 Reaction score 15 Dec 5, 2013 #1 kuna shamba la heka 9 lipo visiga, ni dakika 5 hadi 10 ukitembea kwa miguu kutoka barabara ya morogoro. Shamba lipo pembezoni mwa barabara inayounganisha visiga na bagamoyo. Anayetaka taarifa zaidi ani-pm.
kuna shamba la heka 9 lipo visiga, ni dakika 5 hadi 10 ukitembea kwa miguu kutoka barabara ya morogoro. Shamba lipo pembezoni mwa barabara inayounganisha visiga na bagamoyo. Anayetaka taarifa zaidi ani-pm.