Nauza shamba la hekali 9 lipo visiga mkoa wa pwani.

Nauza shamba la hekali 9 lipo visiga mkoa wa pwani.

kijana mgumu

Member
Joined
Jan 26, 2013
Posts
48
Reaction score
15
kuna shamba la heka 9 lipo visiga, ni dakika 5 hadi 10 ukitembea kwa miguu kutoka barabara ya morogoro. Shamba lipo pembezoni mwa barabara inayounganisha visiga na bagamoyo. Anayetaka taarifa zaidi ani-pm.
 
Back
Top Bottom