Plot4Sale  Nauza Shamba la Pines - 50 Acres - Mafinga

Plot4Sale  Nauza Shamba la Pines - 50 Acres - Mafinga

Lawkeys

JF-Expert Member
Joined
Nov 16, 2009
Posts
1,118
Reaction score
287
Shamba la miti aina ya Pines, yenye umri wa mwaka mmoja, lipo Mapanda, Mafinga linauzwa.

Bei 36.5m - mazungumzo yapo.

Mawasiliano - 0714019605
 
Mapanda haiko mafinga tafadhali sema mapanda iliyoko mufindi na utaje ni umbali wa Km ngapi kutoka mafinga township, kwa umri wa miti hiyo ilivyo ni VEMA ukauza kwa ekari, na pia kuweka kivuli picha ilivyo
 
Back
Top Bottom