Plot4Sale Nauza shamba langu heka 3

Plot4Sale Nauza shamba langu heka 3

Blaszczykowski

JF-Expert Member
Joined
Dec 20, 2022
Posts
310
Reaction score
1,100
Habari wapendwa nauza shamba langu Lina heka 3 tu lipo kati kati ya Fukayosi na Kiwangwa karibu na Bakhresa, ni Mali halali lenye hati na linatambulika Serikali za mtaa kutoka barabaran kuu mpaka shamba lipo Ni dakika 25

Heka 1 - 1m
WhatsApp 0715160365
Mimi ndio mmiliki
 
Unaposema katikati ya Fukayosi na Kiwangwa
Je ni ?
1. Pale kwenye kivuko Cha ngombe..kwa DJ?
2. Fitina.?
3. Mwavi?
4. Kwa mkorea?

Umbali toka LAMI mpaka shamba ni kilometer ngapi?

Asante
 
Unapo sema katikati ya Fukayosi na kiwangwa
Je ni ?
1.Pale kwenye kivuko Cha ngombe..kwa DJ?
2.Fitina.?
3.Mwavi?
4.kwa mkorea?

Umbali toka LAMI mpk shamba ni kilometer ngapi?
Asante
Naomba Jibu hili kiongozi
 
IMG_20231030_141549_724.jpg
 
Habari wapendwa nauza shamba langu Lina heka 3 tu lipo Kati kati ya fukayosi na kiwangwa karibu na bakhresa ni Mali halali lenye hati na linatambulika serikali za mtaa kutoka barabaran kuu mpaka shamba lipo Ni dakik 25

Heka 1 - 1m
WhatsApp 0715160365
Mimi ndio mmiliki
2.5m ikifaa kesho asubuh nije na mwanasheria wangu kabisa
 
Oyaa nyie mnaomba namba chapu chapu mnatoa wapi Million Tatu Harakaharaka hivi yaani kama vile zipo mfuko wa shati, tupeane fursa bwanaa.
 
Back
Top Bottom