Plot4Sale Nauza shamba langu heka 3

Blaszczykowski

JF-Expert Member
Joined
Dec 20, 2022
Posts
310
Reaction score
1,100
Habari wapendwa nauza shamba langu Lina heka 3 tu lipo kati kati ya Fukayosi na Kiwangwa karibu na Bakhresa, ni Mali halali lenye hati na linatambulika Serikali za mtaa kutoka barabaran kuu mpaka shamba lipo Ni dakika 25

Heka 1 - 1m
WhatsApp 0715160365
Mimi ndio mmiliki
 
Unaposema katikati ya Fukayosi na Kiwangwa
Je ni ?
1. Pale kwenye kivuko Cha ngombe..kwa DJ?
2. Fitina.?
3. Mwavi?
4. Kwa mkorea?

Umbali toka LAMI mpaka shamba ni kilometer ngapi?

Asante
 
Unapo sema katikati ya Fukayosi na kiwangwa
Je ni ?
1.Pale kwenye kivuko Cha ngombe..kwa DJ?
2.Fitina.?
3.Mwavi?
4.kwa mkorea?

Umbali toka LAMI mpk shamba ni kilometer ngapi?
Asante
Naomba Jibu hili kiongozi
 
2.5m ikifaa kesho asubuh nije na mwanasheria wangu kabisa
 
Oyaa nyie mnaomba namba chapu chapu mnatoa wapi Million Tatu Harakaharaka hivi yaani kama vile zipo mfuko wa shati, tupeane fursa bwanaa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…