Desert water
Member
- Oct 20, 2011
- 8
- 2
Asante ndgPole sana mkui
Asante mkuu, mzazi kwanza mali za dunia zipo lakini mzazi ni mmoja dunianiBwaashee pole sana, Shamba unauza bei rahisi sana kwa huko, hope utapata mteja soon
Kituo cha kwa kiliwe kipo sehemu moja wanauza nyanya na vitunguu kama unaelekea Moshi kutoka Boma stendi, kuna store ya mbegu za kilimo inaitwa Sungura Mkono wa kulia ni mita takribani 600 kwenda shambani, unaweza nipigia 0757620622 uje nikuelekeze ukaoneHebu nielekeze vizuri kwa kiliwe ni wapi?kabla ya sadala ama na ni upande wa juu au wa chini?
Kama litakuwepo bado ,karibu ndguNitakutafuta mkuu ngoja nipokee salary wiki ijayo
Asantepole mkuu
Linafaa kwa kilimo kipi mkuu, vitunguu na viazi vitamu vinakubali na je mavuno ni mara moja or mbili kwa mwakaKituo cha kwa kiliwe kipo sehemu moja wanauza nyanya na vitunguu kama unaelekea Moshi kutoka Boma stendi, kuna store ya mbegu za kilimo inaitwa Sungura Mkono wa kulia ni mita takribani 600 kwenda shambani, unaweza nipigia 0757620622 uje nikuelekeze ukaone