SOLD: Nauza shamba langu Kilimanjaro heka 1.5

SOLD: Nauza shamba langu Kilimanjaro heka 1.5

Status
Not open for further replies.

Desert water

Member
Joined
Oct 20, 2011
Posts
8
Reaction score
2
Poleni kwa majukumu ndugu zangu, ninauza shamba langu ukubwa wa heka 1.5 kwa Tsh. 2,500,000/=
Shamba liko Bomang'ombe karibu na kituo cha Kwa kiliwe kama unaelekea Moshi, shamba ni langu mwenyewe ninazo hati zote za mauziano na za serikali ya kijjiji, mama yangu anaumwa mteja wa haraka anipigie au SMS 0757620622.
NB shamba linafaa kwa mazao ya aina zote.
 
Bwaashee pole sana, Shamba unauza bei rahisi sana kwa huko, hope utapata mteja soon
 
Hebu nielekeze vizuri kwa kiliwe ni wapi?kabla ya sadala ama na ni upande wa juu au wa chini?
 
Hayo maeneo ni potential areas , sasa sijui hata kama ndio shida hiyo bei bado ipo chini
 
Pole sana.maeneo ya huko ni mazuri kwa kweli kwa alie na uwezo anunue hatajutia.
 
Nitakutafuta mkuu ngoja nipokee salary wiki ijayo
 
Hebu nielekeze vizuri kwa kiliwe ni wapi?kabla ya sadala ama na ni upande wa juu au wa chini?
Kituo cha kwa kiliwe kipo sehemu moja wanauza nyanya na vitunguu kama unaelekea Moshi kutoka Boma stendi, kuna store ya mbegu za kilimo inaitwa Sungura Mkono wa kulia ni mita takribani 600 kwenda shambani, unaweza nipigia 0757620622 uje nikuelekeze ukaone
 
Barabara ya Afrika mashariki inapita wapi hapo?
 
Kituo cha kwa kiliwe kipo sehemu moja wanauza nyanya na vitunguu kama unaelekea Moshi kutoka Boma stendi, kuna store ya mbegu za kilimo inaitwa Sungura Mkono wa kulia ni mita takribani 600 kwenda shambani, unaweza nipigia 0757620622 uje nikuelekeze ukaone
Linafaa kwa kilimo kipi mkuu, vitunguu na viazi vitamu vinakubali na je mavuno ni mara moja or mbili kwa mwaka
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom