Plot4Sale Nauza shamba (Pori) lipo Chanika

Plot4Sale Nauza shamba (Pori) lipo Chanika

meenah90

Member
Joined
Jan 25, 2023
Posts
33
Reaction score
16
Shamba (pori) Heka 2 kwa bei ya Milioni 2 Na Nusu linauzwa halijawahi kufyekwa, lipo chanika msanga zalala maji chumvi Lina rutba zote na Lina Hati miliki me mwenyewe muhusika na sio dalali kwa mawasiliano nipigie.
no 0718343299


tmp-cam-4372078733657432204.jpg
 
Ni kilom2ta ngapi kutoka barabara kuu?

Kuna barabara inafika shambani?
 
Sijui kama shamba litakuepo maana bei ni nafuu MNO tena ekari mbili....kama unayo ni Bora kulichukua.....
 
Back
Top Bottom