Plot4Sale Nauza shamba

Plot4Sale Nauza shamba

Joined
Oct 16, 2018
Posts
7
Reaction score
12
Shamba liko mvuti ni ekari saba ila zinazouzwa ni ekari nne tu

::mvuti dondwe linapakana na magereza ya dondwe kwa upande wa kaskazini na upande wa mashariki linapakana na shamba la kanari kiwango huyu mwenye kiwango security.

::Limepimwa ramani ya halmashauri inaonyesha ni eneo la makazi na ndani ya shamba kuna viwanja kadhaa.

::usalama upo wapo jirani wanaoishi hapo shamba nawatumia kwa kulilinda na kunipa taarifa mbalimbali

::maji yapo na umeme upo jirani na barabara inafika hadi shamba na inapitika muda wote
::bei ni milioni 3.5 na nusu kwa each ekari

::haina dalali mimi ndio mmiliki


##kwenda kuliona ni wakati wowote
##0765 37 20 61
 
Back
Top Bottom