Phone4Sale Nauza simu aina ya itel A37 kwa bei ya Tshs 70,000 tu

Phone4Sale Nauza simu aina ya itel A37 kwa bei ya Tshs 70,000 tu

Sensei Tai

Senior Member
Joined
May 26, 2022
Posts
168
Reaction score
466
Nauza simu aina ya itel A37 kwa bei ya Tshs 70,000 tu

*Screen (5.7 Inches)
*Battery (3020 mAh)
*RAM (1.00 GB)
*Storage (16.00 GB)
*3G/2G auto

Simu iko kwenye hali nzuri sana, inakaa sana na charge na haijawahi kufunguliwa na fundi wa aina yeyote, nauza bidhaa ambayo ipo kwenye ubora na haina tatizo la aina yoyote.

Kwa mteja alie serious karibu tufanye biashara.Napatikana Mbezi Stand ya Magufuli namba yangu ya simu ni 0719742225
 

Attachments

  • IMG_20230212_071344_204.jpg
    IMG_20230212_071344_204.jpg
    187 KB · Views: 16
  • IMG_20230212_071443_499.jpg
    IMG_20230212_071443_499.jpg
    1 MB · Views: 16
Back
Top Bottom