Phone4Sale Nauza simu mpya Samsung galaxy A04s

Atlast nimempata

JF-Expert Member
Joined
Jun 3, 2011
Posts
386
Reaction score
680
Hii simu (Samsung galaxy A04s) ni brand new kutoka dukani nimeitumia miezi 3. Naiuza kwa 300,000 tu! Maongezi yapo. Storage ni GB 128. Memory Ram 4Gb. Ni simu ya kisasa unaweza upgrade kwa mfumo wowote wa kisasa. Sasa hivi ina Android 14.

Niko Dar es Salaam maeneo ya Mbezi mwisho ya kimara! Nyaraka za uhalali wa umiliki ninazo. Mawasiliano njoo inbox kama unaitaka!
 
Simu haiwezi kuwa brand new alafu ikawa imetumika miezi mitatu. Mambo mengine sisemi ni biashara huria hii, ila hiyo statement ina mkanganyiko.
Na utakuwa mkoani wewe
 
Back
Top Bottom