Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Njoo inboxHii simu (Samsung galaxy A04s) ni brand new kutoka dukani nimeitumia miezi 3. Naiuza kwa 300,000 tu! Maongezi yapo. Storage ni GB 128. Memory Ram 4Gb. Ni simu ya kisasa unaweza upgrade kwa mfumo wowote wa kisasa. Sasa hivi ina Android 14.
Niko Dar es Salaam maeneo ya Mbezi mwisho ya kimara! Nyaraka za uhalali wa umiliki ninazo. Mawasiliano njoo inbox kama unaitaka!
Ila mkuu kwan kabla kupost haukufanya review hata kwa uchache au ulidhamilia kutupa dhambi?
Dhambi hipi?Ila mkuu huu kwan kabla kupost haukufanya review hata kwa uchache au ulidhamilia kutupa dhambi.
Hiyo ni mikono ya mwenzake aliyempata😀Huo mkono kama ni wako basi puguza bei, maana screen lazima itakuw na damage
Hilo ni jina la settings unaweza kulibadilisha! Tutakaye fikia bei tutaiset to factory resetSasa Jeremiah kwa nini umeweka picha ya demu?
Shida ni simu au mimi?Hiyo ni mikono ya mwenzake aliyempata😀
Tunanogesha kijiwe tu mkuu wakati tunasubiri mteja..kua na amani😀Shida ni simu au mimi?
Ushirikiano hupi? Nimemuomba mtu anishikie wakati napiga picha sides zake!Ila mkono na simu havina ushirikiano
Mkuu.
We ni Ke?Ushirikiano hupi? Nimemuomba mtu anishikie wakati napoga picha sides zake!
Leo hujaenda kujenga?Hilo ni jina la settings unaweza kulibadilisha! Tutakaye fikia bei tutaiset to factory reset
We nae huoni huo mkono. Tena hapo mwamba kaitunza sana ilibidi iwe n cratch kam za dj sinyorita😅Mkuu.
Samahani,, simu ya miezi mi3 protector inamichubuko. Cover la nyuma.
Nakuomba, jitahidi kuwa mtunzaji.
Hii simu haina michubuko kabisa! Ina cover na screen protector!Mkuu.
Samahani,, simu ya miezi mi3 protector inamichubuko. Cover la nyuma.
Nakuomba, jitahidi kuwa mtunzaji.
Nimeangalia avatar nikaangalia na hiyo simu. Big NOWe nae huoni huo mkono. Tena hapo mwamba kaitunza sana ilibidi iwe n cratch kam za dj sinyorita😅
Naona unamtafutia dhambi ya kusema uongoWe ni Ke?
Njooo pm!Njoo nikupe laki mbili kama uko teyari njoo PM
Ni used phone in good condition, siyo brand new.Hii simu (Samsung galaxy A04s) ni brand new kutoka dukani nimeitumia miezi 3. Naiuza kwa 300,000 tu! Maongezi yapo. Storage ni GB 128. Memory Ram 4Gb. Ni simu ya kisasa unaweza upgrade kwa mfumo wowote wa kisasa. Sasa hivi ina Android 14.
Niko Dar es Salaam maeneo ya Mbezi mwisho ya kimara! Nyaraka za uhalali wa umiliki ninazo. Mawasiliano njoo inbox kama unaitaka!