Atlast nimempata
JF-Expert Member
- Jun 3, 2011
- 386
- 680
Okay naweka!Weka picha!
Huo mkono ni wako? Samahani lakiniWee njoo nikuonyeshe chombo utaipenda! Maongezi ni baada ya kuiona!
Kipupwe mkuu ha ha ha.Huo mkono ni wako? Samahani lakini
π πππHuo mkono ni wako? Samahani lakini
Kwanini usingeshika simu ww YEYE akapiga pichaπ€£Nilimpa mtu anishikie wakati naipiga picha! ππ π lakini nyie??
Jamani! Kwani shida ni mkono ulioshika simu au simu? π ππKwanini usingeshika simu ww YEYE akapiga pichaπ€£
Kama vipi irudiwe kupigwa picha....Jamani! Kwani shida ni mkono ulioshika simu au simu? π ππ
Huo mkono kama ni wako basi puguza bei, maana screen lazima itakua na damage
π π π ! Dar sasa hivi baridi mikono inafreeze!Huo mkono kama ni wako basi puguza bei, maana screen lazima itakuw na damage
Simu haiwezi kuwa brand new alafu ikawa imetumika miezi mitatu. Mambo mengine sisemi ni biashara huria hii, ila hiyo statement ina mkanganyiko.Hii simu (Samsung galaxy A04s) ni brand new kutoka dukani nimeitumia miezi 3. Naiuza kwa 300,000 tu! Maongezi yapo. Storage ni GB 128. Memory Ram 4Gb. Ni simu ya kisasa unaweza upgrade kwa mfumo wowote wa kisasa. Sasa hivi ina Android 14.
Niko Dar es Salaam maeneo ya Mbezi mwisho ya kimara! Nyaraka za uhalali wa umiliki ninazo. Mawasiliano njoo inbox kama unaitaka!
πππππππππππππ DaaaahHuo mkono ni wako? Samahani lakini
Paka mikono yako mafuta utasababisha scratch kwenye screen ya simu
HahahahaHuo mkono kama ni wako basi puguza bei, maana screen lazima itakuw na damage