Phone4Sale Nauza Simu Samsung S8 Plus

Inaingia line ngapi?
 
Aisee bado ipo ?

Ina muda gani tokea ununue ?
 
Samsung ikiwa line mbili ujue ni fake from China huwa zinapitia Dubai then kuja kwetu.

Samsung wenyewe hawana line mbili
Kwani Samsung Duos ilitoka china?

Mimi ninayo Samsung S7 edge, ni line mbili na hiyo sehemu ya kuweka line ya pili unaweza weka Memory Card
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…