Phone4Sale Nauza Simu Samsung S8 Plus

Phone4Sale Nauza Simu Samsung S8 Plus

Msololi53

New Member
Joined
May 30, 2016
Posts
3
Reaction score
7
Baada ya kuona wadau (USAWA) hela imekuwa ngumu, nimeshusha kwa kiwango cha rami mpaka 250K

Karibuni

Screenshot_20220123-152520_WhatsApp.jpg
 
Wakuu habari za weekend

Ninauza simu yangu ya Samsung S8 Plus.
Bei elekezi ni 300K

NB: Kama mtu yupo serious na mwaminifu, anaweza toa nusu, nikamkabidhi simu, aitumie wiki moja then amalizie kiasi kilichobaki

Location : Dar Es Salaam

Karibuni

------------------------------------------------------------------------------------------------------------------------------------------

Updates:

Baada ya kuona wadau (USAWA) hela imekuwa ngumu, nimeshusha kwa kiwango cha rami mpaka 200K

Note: Deadline ya offer hii ni Feb 10 full stop

Karibuni

View attachment 2092910
Inaingia line ngapi?
 
Aisee bado ipo ?

Ina muda gani tokea ununue ?
 
Samsung ikiwa line mbili ujue ni fake from China huwa zinapitia Dubai then kuja kwetu.

Samsung wenyewe hawana line mbili
Kwani Samsung Duos ilitoka china?

Mimi ninayo Samsung S7 edge, ni line mbili na hiyo sehemu ya kuweka line ya pili unaweza weka Memory Card
Screenshot_20220210-065647_Chrome.jpg
 
Back
Top Bottom