Phone4Sale Nauza simu ya Galaxy S8 plain used Dar es Salaam kwa bei nafuu

Jo Assistant

Senior Member
Joined
Jun 20, 2014
Posts
195
Reaction score
199
Habari wadau,

Nauza simu yangu kwa mtu anayetaka kuinunua hapa Dar es Salaam. Nakupa na chaja yake bure. Simu ipo rooted na unaweza kutumia line 2 za simu. Kama utataka nikufungulie social media accounts (Instagram, Facebook, X, nk), nitakufungulia bure. Pia kama utataka links za websites za ku'download movies za bure au app maalum ya kuangalia mpira bure (EPL, CAF, etc) nitakupatia bure. Karibu sana!

Name: Galaxy S8 (plain)
Model number: SM-G950FD
RAM: 4GB
Storage: 64 GB

Bei: 170,000 Tsh (negotiable)

Mawasiliano: 0743744471

Ahsante!

......................
Nime'update tangazo kulingana na maoni ya wadau na uhitaji wa soko.

 
simu ipo vizuri tu (japo ukitumia data mfululizo haikai sana na chaji).
Hudhani kwamba sentesi yako moja inakinzana yenyewe. Kutokukaa na charge sababu ya data kuwa on tayari ishaondoa swala la simu kuwa vizuri, hiyo ni dosari.

Kaa chini ujitafakari hasa swala la bei, hiyo simu ni toleo la mwaka 2017. Ina takriban miaka 7 sasa. Ushauri wangu usiuze mtandaoni utakuwa discouraged, tafuta mwana mmoja kitaani muuziane kisela. Humu mitandaoni utapewa ofa za ovyo na kusanifiwa juu.
 

Vitu vingine muwe mnagawa tu. Si kila kitu kuuza. Mpe rafiki. Mpe house girl. Mpe binamu. Mpe bibi.
 
Vitu vingine muwe mnagawa tu. Si kila kitu kuuza. Mpe rafiki. Mpe house girl. Mpe binamu. Mpe bibi.
Ningeshagawa ila nina uhitaji wa hela kwa sasa kama nilivyoeleza. Labda wewe una hali nzuri kiuchumi ndiyo maana unasema hivyo.
 
i hope ushaiuza
Bado, ila nadhani leo umekutana na bahati yako. Yamkini wewe ndiye mteja uliyekusudiwa kununua simu hii.
NB: Nitakusaidia kuku'set'ia (accounts, apps, nk) bure kila kitu kwenye simu endapo utanunua.

Karibu sana!
 
Nipo Morogoro tunaweza kukutana
 
Nipo Morogoro tunaweza kukutana
Mkuu kama nilivyosema, mimi nipo Dar es Salaam. Ila naweza nikakusafirishia kwa bus (mf; Abood). Au unategemea kuja Dar hivi karibuni?
 
Bado, ila nadhani leo umekutana na bahati yako. Yamkini wewe ndiye mteja uliyekusudiwa kununua simu hii.
NB: Nitakusaidia kuku'set'ia (accounts, apps, nk) bure kila kitu kwenye simu endapo utanunua.

Karibu sana!
aIla wewe dogo unafurahisha😆..kipi kigeni kuset hizo ishu? hhaaah...sina shida ya simu ila nimeshangaa bei na ukimeo wake
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…