Phone4Sale Nauza simu ya Galaxy S8 plain used Dar es Salaam kwa bei nafuu

Phone4Sale Nauza simu ya Galaxy S8 plain used Dar es Salaam kwa bei nafuu

aIla wewe dogo unafurahisha😆..kipi kigeni kuset hizo ishu? hhaaah...sina shida ya simu ila nimeshangaa bei na ukimeo wake
Dah! 😢 Nilijua upo tayari madam! Halafu kuna vitu vingi vya ku'set ujue... Accounts Backup, 2FA kwenye social media accounts, kuweka modded apps, and more. Tungeonana ungenielewa vizuri. Bei ni fair, na kwa uwezo wako inaonekana unaweza kumnunulia hata mtoto/ndugu yako. Ni'PM ili unitajie una Shs. ngapi nikuachie S8 a.s.a.p
 
Natafuta kioo cha hiyo simu sana
Kadri matoleo mapya yanavyoendelea kutoka kuna baadhi ya vifaa vya matoleo ya zamani vinazidi kuwa adimu. Ningekusaidia ila kwa sasa bado sifahamu wanapouza kioo original cha simu hii.
 
Back
Top Bottom