Nauza simu ya mkopo

Nauza simu ya mkopo

Kuna harufu simu ya wizi

Utaki kuweka uthibitisho

Angalizo Christmas isije kuwakuta magereza
Yaani kwamba simu ya wizi then ni ya mkopo. Unakuwa unailipia Kwa mfumo gani kama ni ya wizi? Au ukishaiba unabadilisha unakuwa unailipia Kwa details zako? Mbona mna fikira finyu? Niibe simu then nibadilishe nikalipie Kwa details zangu? Au mnafikiri kila mtu anaishi maisha ya upuuzi kama yenu? Stop being stupid! Simu ninayo ni ya kwangu na details zote za malipo ni zangu. Huo wizi umetokana na nini? Pumbavu sana.
 
Hiyo simu ni yako au ya mkopo?
Sema kweli, hiyo simu ni ya wizi. Sikukuu hii kuna mtu anaenda kulala magereza
 
Back
Top Bottom