INAUZWA Nauza smartwatch nzuri

INAUZWA Nauza smartwatch nzuri

marcus dedsec

JF-Expert Member
Joined
Nov 29, 2017
Posts
944
Reaction score
987
Saa ni mpya kabisa Z51 smartwatch 8
Ina watch faces za apple watch series 8
Unapata na mikanda pair 2
Bei 45,000 Tshs
Maongezi yapo
Naomba radhi picha hazina ubora
Tuwasiliane 0693010101

NB: Kama unatumia iPhone 13 pro max au iPhone 14 pro max nitakupa na cover jipya bure kabisa.
Nilijaribu biashara ya vifaa vya simu Ila mambo hayaenda vizuri kwahiyo nitakupa cover bure ukinunua hii saa.
IMG_20221123_084246.jpg
IMG_20221123_084523.jpg
IMG_20221123_084615.jpg
IMG_20221123_084305.jpg
IMG_20221123_084327.jpg
 
Back
Top Bottom