Zote hizo ni gari zimekatwa, mpaka za ndege 😄🤣
Huu ni mnoma sasa ngoja nikupe ushauri kdg wa kupata wateja chap, kila unapopita around jijini chukua namba za mafundi garage, alafu wao watakua wanakuchek ww maana kiuhalisia wao ndio wahitaji na washauri wa spea kwa wenye magari ukiwa na namba za garages 200 tu mzee utanishukuru baadae
 
WhatsApp 0712 148001
MASSAWE STAUT HIYO
 
Asante kwa ushauri mkuu.
 
WhatsApp 0712 148001
Brevis
 
Boss natafuta taa ya mbele kulia ya gari hii hapa👇
 

Attachments

  • IMG_20250129_082247.JPG
    1 MB · Views: 3
  • IMG_20250129_082652.JPG
    1.4 MB · Views: 3
WhatsApp 0712 148001
Compressor hiyo, dar jua kali jamani joto balaa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…