SOLD: Nauza Speaker ya gari, dishes, Majiko, amplifier, Feni n.k.

SOLD: Nauza Speaker ya gari, dishes, Majiko, amplifier, Feni n.k.

Status
Not open for further replies.

Login17

Member
Joined
Jun 21, 2017
Posts
83
Reaction score
69
Wakuu habari za muda huu:

Nimerudi tena... Vifuatavyo vipo tayari kwa anayehitaji. Vitu hivi nilikuwa navitumia mwenyewe ila kwa sasa sina matumizi navyo. Navitoa kwa bei iliyo fair kabisa.

Location ni Mtoni - Kijichi. Karibuni.

VIMEUZWA VYOTE
 

Attachments

  • Speaker ya gari 2.jpg
    Speaker ya gari 2.jpg
    71.8 KB · Views: 276
  • Speaker ya gari.jpg
    Speaker ya gari.jpg
    75.4 KB · Views: 262
  • Speaker ya gari3.jpg
    Speaker ya gari3.jpg
    99.4 KB · Views: 245
  • Feni 3 za ukutani.jpg
    Feni 3 za ukutani.jpg
    118.2 KB · Views: 363
  • Amplifier ya gari.jpg
    Amplifier ya gari.jpg
    113.9 KB · Views: 313
  • IMG_20171027_122258.jpg
    IMG_20171027_122258.jpg
    76.2 KB · Views: 306
  • IMG_20171027_122342.jpg
    IMG_20171027_122342.jpg
    90.2 KB · Views: 311
  • IMG_20171027_122404.jpg
    IMG_20171027_122404.jpg
    80 KB · Views: 300
  • Azam Dish.jpg
    Azam Dish.jpg
    72.2 KB · Views: 313
  • Dish la Dstv.jpg
    Dish la Dstv.jpg
    102.2 KB · Views: 350
  • Jiko nyama choma.jpg
    Jiko nyama choma.jpg
    227.2 KB · Views: 587
  • Jiko Mishikaki.jpg
    Jiko Mishikaki.jpg
    280.7 KB · Views: 479
  • Jiko mkaa.jpg
    Jiko mkaa.jpg
    274 KB · Views: 416
  • Spiral binding machine.jpg
    Spiral binding machine.jpg
    130.5 KB · Views: 288
  • tronic main switch (2).jpg
    tronic main switch (2).jpg
    81.2 KB · Views: 293
  • Tronic main switch.jpg
    Tronic main switch.jpg
    117.4 KB · Views: 350
  • tronic main switch3.jpg
    tronic main switch3.jpg
    77.6 KB · Views: 266
  • Sofa coach.jpg
    Sofa coach.jpg
    124.3 KB · Views: 340
  • IMG_20171027_141547[1].jpg
    IMG_20171027_141547[1].jpg
    93.1 KB · Views: 288
hiyo decoder ni version ya mwaka gani!? mbona kama ndio naiona leo mkuu
 
Huyu jamaa atakuwa amepata mchongo wa hela ndefu kwa trump, ila vitu vizuri pia vipo vibaya na bei ni kubwa sana , kama kwwnye hayo majiko angeangalia bei upya maana yamesha kuwa mikwenye pia tv aangalie bei vizuri nk , speaker nk , nimependa amplifier kwani napenda mziki ile mbaya, ssma bei nayo imepaa karibu na mawingu
 
Huyu jamaa atakuwa amepata mchongo wa hela ndefu kwa trump, ila vitu vizuri pia vipo vibaya na bei ni kubwa sana , kama kwwnye hayo majiko angeangalia bei upya maana yamesha kuwa mikwenye pia tv aangalie bei vizuri nk , speaker nk , nimependa amplifier kwani napenda mziki ile mbaya, ssma bei nayo imepaa karibu na mawingu

Mkuu sio mchongo kwa trump. Vitu hivi lazima vitoke... usitishike na bei. Ukipenda kitu we nitext kwa namba hapo juu, hakuna linaloshindikana!
 
Ni Dish pekee. Niliibiwa decoder ya azam, hivyo nikaenda kununua tena full, dish na decoder. So nikaitumia decoder pekee na dish likabaki bila ya matumizi.
sa hapo mteja atatumiaje, au ndo atapambana mbele kwa mbele
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom