Sina risit, ila vyote ni vyangu na nilikuwa natumia mwenyewe.una risiti ya ulipovinunulia mwanzoni? maana huo mchanganyiko wa vitu hata haueleweki au dalali wa panya road?
Hapana mkuuVyote hivyo ni vifaa vya gari au...
Ha ha haaa daah!una risiti ya ulipovinunulia mwanzoni? maana huo mchanganyiko wa vitu hata haueleweki au dalali wa panya road?
Mkuu ya mwaka gani siwezi kujibu ila angalia zaid picha hii unaweza fahamu zaidi.hiyo decoder ni version ya mwaka gani!? mbona kama ndio naiona leo mkuu
Huyu jamaa atakuwa amepata mchongo wa hela ndefu kwa trump, ila vitu vizuri pia vipo vibaya na bei ni kubwa sana , kama kwwnye hayo majiko angeangalia bei upya maana yamesha kuwa mikwenye pia tv aangalie bei vizuri nk , speaker nk , nimependa amplifier kwani napenda mziki ile mbaya, ssma bei nayo imepaa karibu na mawingu
Ni Dish pekee. Niliibiwa decoder ya azam, hivyo nikaenda kununua tena full, dish na decoder. So nikaitumia decoder pekee na dish likabaki bila ya matumizi.Hiyo azam ipo na decorder?
sa hapo mteja atatumiaje, au ndo atapambana mbele kwa mbeleNi Dish pekee. Niliibiwa decoder ya azam, hivyo nikaenda kununua tena full, dish na decoder. So nikaitumia decoder pekee na dish likabaki bila ya matumizi.
Kabisaasa hapo mteja atatumiaje, au ndo atapambana mbele kwa mbele