SOLD: Nauza Speaker ya gari, dishes, Majiko, amplifier, Feni n.k.

Status
Not open for further replies.
Unahamia wapi mkuuu!! Make naona mjini kumekaza sasa
Mkuu sina matumizi navyo kwa sasa ila pia nina changamoto flan nataka nitatue ndio maana pia kiwanja nauza kwa bei ya kutupa. (kwenye post nyingine)
 
Mkuu nimelipenda kochi ila punguza kidogo. Nakupigia!
 
Mkuu Mimi nahitaji hiyo TV chogo ila sababu ina tatizo na sijui kuitengeneza ngapi pokea 50k
 
Hilo dish la azam lingekua na decoder yake ingefaa sana.
 
Mkuu hiyo TV umesema inatatizo la transformer. Labda ungesema ndo inafanyaje, haionyeshi kabisa au ndo inakuwaje.
 
Mkuu hiyo TV umesema inatatizo la transformer. Labda ungesema ndo inafanyaje, haionyeshi kabisa au ndo inakuwaje.
Kifupi Mara ya mwisho ilivyotumika ilizima ghafla na haikuwaka tena, so Fundi alivyokuja kuicheck akasema shida ni transformer. Haikuwahi kurekebishwa tena!
 
Kifupi Mara ya mwisho ilivyotumika ilizima ghafla na haikuwaka tena, so Fundi alivyokuja kuicheck akasema shida ni transformer. Haikuwahi kurekebishwa tena!
OK, mkuu 50 nakupa
 
daaah mpaka huu mwaka umalizike hapa jijini tutabaki kumi(10) tuu.. vyuma vimekaza..rudini ma-kwenu
 
Mkuu embu fanya hiyo hela nije kuchukua feni 2 kesho
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…